Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Wachangia Lita 67 za Damu
Advertisement


Monday, December 22, 2008 6:55 PM
WAFANYAKAZI wa mgodi wa Barrrick Bulyanhulu na familia zao wametoa lita 67 za damu wakati wa sherehe ya sikukuu ya familia iliyofanyika jana mgodini hapo.

Daktari Mkuu wa mgodi huo, Ghuhen Mtaita alisema wameamua kutoa damu hiyo ili itumike kusaidia kuokoa maisha ya wagonjwa mbalimbali walioko hospitalini.

Alisema lengo lilikuwa kupata lita 100 za damu ingawa hawajatimiza lengo, wanaamini kuwa katika miaka ijayo watachangia kiasi kikubwa cha damu kwani ni kampeni.

Alisema kwa kuwa ni mara ya kwanza kwa mgodi huo kutoa damu kama sehemu ya kusherehekea sikukuu ya Krismass, wameaumu kufanya hivyo kama mara tatu au nne kwa mwaka.

Naye Andrew Marko, Afisa Mhamasishaji wa mpango wa damu salama Kanda ya Ziwa aliwashukuiru wafanyakazi wa mgodi huo na kusema damu hiyo waliyopata itatumika kwa wagonjwa 201 na kwa kuwa ilikuwa inahitajika damu bora na si damu nyingi.

Na kusema damu hiyo itatumika kwa wagonjwa wa makundi mbalimbali wakiwamo watoto walio chini ya umri wa miaka mitano, mama wajawazito ambao ,wanahitaji damu kabla na baada ya kujifungua, watu waliopata ajali, upasuaji wa dharura na wagonjwa wengine wanaohitaji damu.

 
Na Chondoma Shabani, Dar es Salaam    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: soudshs    Saturday, October 31, 2009 19:07:20   
 
Je wewe Daktari umewapima kwanza damu kabla ya kuwatoa maana isije wangine wana ugonjwa wa ukimwi na kueneza ugonjwa kwa wangonjwa wengine au unataka sifa tu angalia
 
 
Mtoa Maoni: NElYKGkPSzoWiln    Friday, July 01, 2011 02:50:03   
 
You?re a real deep thinker. Thanks for srhaing.
 
 
Mtoa Maoni: vXneGZnVpPnivjp    Friday, July 01, 2011 15:19:13   
 
LpycHt , [url=http://iveekgzixsrm.com/]iveekgzixsrm[/url], [link=http://upcsbmfeybhr.com/]upcsbmfeybhr[/link], http://hcvwifptwtpc.com/
 
 
Mtoa Maoni: QfriQZMqHbFIvOk    Monday, July 04, 2011 18:09:13   
 
Bm2NwY , [url=http://ojwhycgslard.com/]ojwhycgslard[/url], [link=http://xteafjttipft.com/]xteafjttipft[/link], http://bmkjuxcuhtwv.com/
 
 
Mtoa Maoni: Madenge    Friday, May 04, 2012 11:53:02   
 
Aliye uliza swali la kwanza hapo juu hana akili na hajui utaratibu wa utoaji damu unahitaji darasa na kama umeshawahi kuchangia usinge uliza huo upuuzi wako na nyie ndo mnao kwamisha jitihada za taifa.
 
 
       Jumla kuna maoni (12), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
More health news
> Azaliwa na Ugonjwa wa Ajabu Aona Dunia Chini Juu
> Lipstick ni hatari kwa wanawake wajawazito na watoto
> Kikwete azindua jengo la upasuaji wa moyo
> Watoto wenye vichwa vikubwa watatibiwa bure
> MOI yapata vifaa thabiti vya upasuaji ugonjwa wa Uti wa
> Bajeti Ndogo ni chanzo cha vifo vya Malaria
> Malaria bado Tishio Tanzania-Waziri
> Wagonjwa 25 wa Moyo Wamekwenda India leo
> Muhimbili Yapata Vipimo Vipya
> Ukerewe Yatikiswa na Ugonjwa wa Minyoo na Kichocho
> Baby With Extra Legs Protruding From Buttocks
> 'Man mountain' From 46st virgin to gym hunk
> Bibi wa miaka 92 ana mimba ya tangia mwaka 1948 mpaka leo
> Mtoto mnene kuliko wote dunia apungua kilo 191
> Jaribio Ya Chanjo ya Ugonjwa wa Kipindupindu Yaja
> Wachangia Lita 67 za Damu
> Boy has foot removed from brain
> 10-Pound Hairball Pulled From Girl's Stomach
> HIV illegal immigrant may have infected more than 400
> Planting the seeds of malaria control
> Smoking riskier for women's hearts

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD