Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Jishindie Milioni 3 Kila Siku na Vodacom

NewsImages/5521794.jpg
Tuesday, March 15, 2011 1:51 AM
Kampuni ya simu ya Mkononi yaVodacom Tanzania leo imezindua tena shindano la Milionea ambapo kila siku mtu mmoja atajishindia jumla ya Tsh. Milioni 3.
Akizungumza na wandishi wa habari Ofisa huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania Elihuruma Ngowi alisema kuwa shindano hilo litashindaniwa na wateja wanaotumia mtandao wa Vodacom.

Katika promosheni hiyo mshindi mmoja atakuwa akijishindia shilingi milioni 3 kila siku kwa muda wa siku 70 ambapo jumla ya shilingi Milioni 210 zitashindaniwa.

Watanzania hasa wateja wa Vodacom wanachotakiwa kufanya ni kutuma SMS YENYE NENO PESA KWENDA NAMBA 15544 kila siku. Sms moja itagharimu kiasi cha shilingi 540 tu ili uweze kuwa mshindi lazima utume sms nyingi.

Na mteja atapata maswali yatakayomuwezesha kushinda kama atapata swali moja ataongezewa pointi 20 kama akikosa swali atapata ponti 10.

Mtaalamu wa Mambo ya Habari wa kampuni hiyo Matina Nkurlu aliwaasa watanzania kushiriki kwa wingi ili waweze kutajirika na promosheni hii ambayo ameiita babu kubwa hapa nchini.

 
    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Jamrock    Tuesday, March 15, 2011 02:24:14   
 
TEH TEH TEH,MMESHAIITA BAHATI NASIBU,HALAFU MNATAKA KUWAASA WATANZANIA WASHIKIRI KWA WINGI ILI MJITAJIRISHE,NYIE MNAFIKIRI 540 NI NDOGO HALI YENYEWE YA BONGO NDIO HII KILA KITU JUU,KAZI ZENYEWE LAZIMA MTU UWE MBUNIFU,KAMA MNATAKA KUWATAJIRISHA WATU,MNGESEMA KUSHIRIKI KUTUMA SMS NI SH 5 HAPO KWELI TUNGEJUA MNA NIA YA KUTAJIRISHA WABONGO,TEH TEH TEH
 
 
Mtoa Maoni: moms016    Tuesday, March 15, 2011 20:58:33   
 
Watumiao Tigo vipi? UBUGUVU anapenda sana TIGO sijui kwa urahisi wake ama kwa matumizi ya kila siku? me sielewi, kiufupi sijui, nikiwa na maana sifahamu, yaani sitambui.

Tunasema watu wa hekima "kula uhondo kwataka matendo, asiye matendo hula uvundo" KDDDK!
wengine wakasema, "kikuchekeshacho ndicho kikulizacho"
I`m out!

ZeeLaVicheko JAMROCK kwa nini hupendi tigo? (Ni nafuu sana..)jaribu.. T3H T3H T3H.. KDDDK!


 
 
Mtoa Maoni: Mang    Wednesday, March 16, 2011 13:16:04   
 
Hawa matapeli na wanaangamiza uzalishaji! si ndogo pia si zawadi ya kutumia simu ila ni zawadi ya mchezo wa kamari! Kamari ni mchezo mchafu duniani! utajiri wa kamari hauna maana! kama wangekuwa kweli wanataka kupigia debe biashara yao wasingechezesha kamari ila wangesema kila mteja wao atakayetumia simu kwa matumizi ya kawaida sio kutuma sms ya Jero! atajipatia nafasi ya kushirikishwa katika pambano bila zengwe hapo ningeunga mkono vinginevyo ni kamari na haina maana yeyote kwa raia!
 
 
Mtoa Maoni: Jamrock    Thursday, March 17, 2011 00:36:00   
 
TEH TEH TEH,MOMOS TIGO NAMUACHIA UBUGUVU TU NDO MZEE WA TIGO,TEH TEH TEH,TANZANIA AM COMING HOME,NIWAHI KWA MZEE WA LOLIONDO MAANA DU,TEH TEH TEH
 
 
Mtoa Maoni: Kayoka    Friday, June 24, 2011 09:44:29   
 
Hizo 540 kwa sms ni bonge la wizi kwa vjisenti vyetu. Kama kwa cku 1 wa2 elfu 1 waktuma sms faidi ni kwao voda.
 
 
       Jumla kuna maoni (499), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za biashara na uchumi
> Benki ya Vijana kuzinduliwa
> Jishindie Milioni 3 Kila Siku na Vodacom
> Precision Air yaanza safari za Bukoba
> Precision Air yazindua nauli maalumu ya Sunrise
> Zain sasa ni Airtel
> Nokia Yatoa Simu Zinazochajiwa na Baiskeli
> TBL yapigwa faini kuvuruga ushindani wa kibiashara
> Gharama za huduma za simu zazidi kupungua
> Uzalishaji wa Bia Mpya TBL Wasimama Baada ya Mitambo Kuungua
> Ewura yashtua wabunge kwa kuwa na matumizi makubwa
> Zain yaja na Balckberry Pre Paid
> Wakulima wa embe wasaidiwa milioni 126/-
> BOT, NMB ijiunge na umoja switch kuondoa kero
> Soko la samaki laingiza bilioni mbili
> Serengeti Breweries yatunzwa tunzo ya dhahabu
> VIDEO - Dhahabu Zatumika Kununulia Mkate Zimbabwe
> ATM 'Yapagawa' na Kuwajaza Watu Mapesa Italia
> Wafanyabiashara Watakiwa Kujitangaza
> BET Yatoa Elimu Kwa Wajasiliamali Nchini
> Wengi hawajui kama simu za zamani zinaweza kutumika kutengeneza vitu vingine
> Mmea wa Mbuyu Unatakiwa Kuzalishwa Kwa Wingi- Wizara
> Arusha Thomson Safaris named among 2009 Best Adventure Travel Companies on Earth
> Mifuko ya Rambo kupigwa marufuku Tanzania
> Uuzaji wa Pamba Nje Marufuku
> Uzalishaji Korosho Utashuka

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD