Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Zain sasa ni Airtel

NewsImages/5154510.jpg
Tuesday, November 23, 2010 10:46 AM
KAMPUN ya simu ya Zain Tanzania imebadili jina hilo na sasa inatambulika kama Airtel.
Uzinduzi wa jina hilo umefanyika jana na kubainishwa kuwa Kampuni inayotambulika kwa jina la Bharti Airtel imenunua kampuni hiyo.

Hivyo kuanzia sasa Zain itabadilika na kuitwa Airtel ndilo litakalokuwa jina la utambulisho wa kampuni hiyo barani Afrika na Asia katika nchi 19.

Mkurugenzi wa Airtel,Sam Elangalloor,akizindua nembo hiyo mpya amesema,huduma za kampuni na bidhaa mpya na za kibunifu zitabadilishwa ili kushabihiana na malengo ya kibiashara ya Airtel.

Hii ni mara ya tatu kwa kampuni hiyo kubadilisha jina,iliposajiliwa Tanzania ilijulikana kama Celtel Tanzania Ltd na baadaye baada ya kuuzwa ikaitwa ZAIN na sasa inaitwa Airtel.

Meneja Mawasiliano wa Tume ya Kudhibiti Mawasiliano (TCCRA) Innocent Mungy amesema,kubadilishwa jina kwa kampuni hiyo hakuna athari kibiashara na wala hakuna ujanja wa kibiashara unaofanyika.

Aliwaondoa hofu watumiaji wa mtandao huo.

 
Na Pilly Kigome, Dar    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Mang    Tuesday, November 23, 2010 11:00:03   
 
Kwa nini pasiwe na hofu? Wakati usmbufu kibao utatokea? Mimi najua namba ya ndugu yangu ya celtel kabla sijakaa vizuri nasikia ni zein kbla sijazoe jina jpya nasikia ni eyaTEli? hili si balaa? Tumezoe Tizo, voda, celtel! Sasa hao wanunuzi bora waanzishe shirika jipya tu sio kuleta ujanja wa kukwepa kodi au mizengwe yoyote!
 
 
Mtoa Maoni: moms016    Tuesday, November 23, 2010 13:17:55   
 
Mwisho mutaita UBUGUVU, me ndo mana napenda TIGO! na zeeChekoCheko JAMROCK! T3H T3H T3H!!
SEMY Tigo uc2mie!!! bora zantel!!

 
 
Mtoa Maoni: zhao    Tuesday, November 23, 2010 13:50:30   
 
ukiona mtumzima analia uje kuna jambo,isijekua mwanzo wakufilisika tu maana majina kila leo.
kina BHAI washanunua kampuni hio eeee! kazi kwenu sasa watz

 
 
Mtoa Maoni: Ubuguvu    Tuesday, November 23, 2010 15:59:34   
 
Hapo hapa jipya la kushanga kampuni kuuzwa na kununuliwa ni jambo la kawaida duniani. Liverpool na man city zimeuzwa na zimenunuliwa hakuna ulazima wakuzoea jina bt muhimu kupata huduma bora, nafuu na ya uhakika.
 
 
Mtoa Maoni: HASSAN    Monday, November 29, 2010 22:14:46   
 
Tuseme kuwa hayo ndiyo maendeleo basi! Hii ndiyo mara ya mwisho ya kubadili majina hoya... anyway
Tuwatafutie maji ya kunywa ndiposa jina hilo lisibadilishwe tana...
OK? DO YOU UNDER-STAND WHAT I'M TALKING ABOUT?
Any question?

 
 
       Jumla kuna maoni (9), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za biashara na uchumi
> Benki ya Vijana kuzinduliwa
> Jishindie Milioni 3 Kila Siku na Vodacom
> Precision Air yaanza safari za Bukoba
> Precision Air yazindua nauli maalumu ya Sunrise
> Zain sasa ni Airtel
> Nokia Yatoa Simu Zinazochajiwa na Baiskeli
> TBL yapigwa faini kuvuruga ushindani wa kibiashara
> Gharama za huduma za simu zazidi kupungua
> Uzalishaji wa Bia Mpya TBL Wasimama Baada ya Mitambo Kuungua
> Ewura yashtua wabunge kwa kuwa na matumizi makubwa
> Zain yaja na Balckberry Pre Paid
> Wakulima wa embe wasaidiwa milioni 126/-
> BOT, NMB ijiunge na umoja switch kuondoa kero
> Soko la samaki laingiza bilioni mbili
> Serengeti Breweries yatunzwa tunzo ya dhahabu
> VIDEO - Dhahabu Zatumika Kununulia Mkate Zimbabwe
> ATM 'Yapagawa' na Kuwajaza Watu Mapesa Italia
> Wafanyabiashara Watakiwa Kujitangaza
> BET Yatoa Elimu Kwa Wajasiliamali Nchini
> Wengi hawajui kama simu za zamani zinaweza kutumika kutengeneza vitu vingine
> Mmea wa Mbuyu Unatakiwa Kuzalishwa Kwa Wingi- Wizara
> Arusha Thomson Safaris named among 2009 Best Adventure Travel Companies on Earth
> Mifuko ya Rambo kupigwa marufuku Tanzania
> Uuzaji wa Pamba Nje Marufuku
> Uzalishaji Korosho Utashuka

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD