Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Nokia Yatoa Simu Zinazochajiwa na Baiskeli

NewsImages/4582858.jpg
Simu mpya za Nokia zinazotumia dainamo ya baiskeli kuchaji
Friday, June 04, 2010 3:27 AM
Kampuni kongwe ya simu duniani, Nokia imezitambulisha simu zake mpya za bei chee zenye laini (SIM card) mbili ambazo betri zake huchajiwa na dainamo ya baiskeli.
Simu hizo zilitambulishwa kwa watu jana nchini Kenya ambapo Nokia imesema kuwa imelenga kuziuza kwa bei chee ingawa simu hizo ndio zitakuwa simu za kwanza za Nokia kutumia laini mbili.

Simu hizo pia zina radio na tochi na vionjo vingine vya kawaida.

Simu hizo zinazoitwa Nokia C1-00 zitauzwa kati ya Tsh. 50,000 na Tsh. 90,000 wakati chaja yake itakayotumika kwenye baiskeli itauzwa kuanzia Tsh. 15,000.

Chaja ya simu hiyo inatumia dainamo ya baiskeli hivyo spidi ya mtu kuendesha baiskeli ndivyo betri litakavyojaa chaja nyingi.

Safari ya dakika 10 kwa spidi ya kilomita 10 kwa saa italichaji betri na kukuwezesha kuongea mfululizo dakika 28 au masaa ya 37 ya simu kuwa ON.

Nokia imesema kuwa simu hizo zimelenga zaidi maeneo ya Afrika ambako umeme unapatikana kwa tabu.

 
    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Ubuguvu    Friday, June 04, 2010 09:28:12   
 
Mimi hata hiyo baskeli nime7ahau kupanda Nakia sasa wanataka kuturudisha nyuma na kutubweteka viongozi wetu wazidi kutudhulumu sisemi sio maendeleo lkn KILIMA alikua anampango wa kuvuta umeme kwake ili apukane na kero kuomba majirani au kwenda kuchajisha mara wanabadilisha beti lenyewe wanakuekea bovu sasa hizi KILAMA ataendelea kutumia kibatali na kandili subiri mgao na na black out kila
 
 
Mtoa Maoni: Shemshe    Friday, June 04, 2010 09:34:06   
 
We ubuguvu sio lazima uandike pumba katika kila habari kama hauna cha kusema tuliza boli badala ya kusumbua akili zetu kusoma pumba zako
 
 
Mtoa Maoni: moms016    Friday, June 04, 2010 11:18:02   
 
Maendeleo kwa mujibu wa mahala.. Juhudi nzuri sana kwa kuangalia Nchi za Afrika ni nchi (tunaweza kusema ni jaa -jalala-) Mfn hai Zenji.. ni muda mchache tu wakazi wake wameishi ktk maisha ya karne ya kwanza ADAM na EVE sasa hatuoni km simu hizi zingelisaidia.. BIG UP Nokia kwa kutujali akina ss pumba!!

Shemshe unaweza kusoma soma hauwezi acha!! it`s all!!wengine ndio facebook zetu hizi.. :P
UBUGUVU BIG UP~

 
 
Mtoa Maoni: mchokozi    Friday, June 04, 2010 13:39:59   
 
ubuguvu nijuavyo mimi wazungu wengi wanamiliki baiskeli kwa ajili ya mazoezi iweje mzungu wewe hujui kuendesha baiskeli au uwa unapakiwa kiti cha abiria
 
 
Mtoa Maoni: JOSE    Friday, June 04, 2010 13:52:26   
 
KAMA ni zile baskeli zetu za phonex sawa maana isije kuwa baiskeli special sasa kazi kwako MINA mambo ya umeme sasa ufumbuzi umepatikana jitwalie simu hiyo.

Nafikiri na MVUVI hawa Nokia wamfikirie pia ili wakati akivua apate chaja kwa kutumia mtumbwi wake.

 
 
       Jumla kuna maoni (27), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za biashara na uchumi
> Benki ya Vijana kuzinduliwa
> Jishindie Milioni 3 Kila Siku na Vodacom
> Precision Air yaanza safari za Bukoba
> Precision Air yazindua nauli maalumu ya Sunrise
> Zain sasa ni Airtel
> Nokia Yatoa Simu Zinazochajiwa na Baiskeli
> TBL yapigwa faini kuvuruga ushindani wa kibiashara
> Gharama za huduma za simu zazidi kupungua
> Uzalishaji wa Bia Mpya TBL Wasimama Baada ya Mitambo Kuungua
> Ewura yashtua wabunge kwa kuwa na matumizi makubwa
> Zain yaja na Balckberry Pre Paid
> Wakulima wa embe wasaidiwa milioni 126/-
> BOT, NMB ijiunge na umoja switch kuondoa kero
> Soko la samaki laingiza bilioni mbili
> Serengeti Breweries yatunzwa tunzo ya dhahabu
> VIDEO - Dhahabu Zatumika Kununulia Mkate Zimbabwe
> ATM 'Yapagawa' na Kuwajaza Watu Mapesa Italia
> Wafanyabiashara Watakiwa Kujitangaza
> BET Yatoa Elimu Kwa Wajasiliamali Nchini
> Wengi hawajui kama simu za zamani zinaweza kutumika kutengeneza vitu vingine
> Mmea wa Mbuyu Unatakiwa Kuzalishwa Kwa Wingi- Wizara
> Arusha Thomson Safaris named among 2009 Best Adventure Travel Companies on Earth
> Mifuko ya Rambo kupigwa marufuku Tanzania
> Uuzaji wa Pamba Nje Marufuku
> Uzalishaji Korosho Utashuka

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD