Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
TBL yapigwa faini kuvuruga ushindani wa kibiashara

NewsImages/4524054.jpg
Monday, May 24, 2010 10:51 AM
KAMPUNI ya bia ya Tanzania Breweries Limited [TBL] imepigwa faini ya shilingi bilioni 518 kwa kukiuka na kuvuruga ushindani wa kibiashara nchini
Hatua hiyo imechukuliwa na Tume ya Ushindani ya biashara [FCC] baada ya Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries [SBL] kulalamikia vitendo vinavyochukuliwa na kampuni hiyo shindani.

Hayo yamekuja baada ya TBL kukiuka misingi ya kibiashara kwa kungo’a mabango ya biashara ya kampuni ya SBL katika baa mbalimbali yaliyowekwa na kampuni hiyo kitendo ambacho si halali kwa kanuni za kibiashara nchini.


Mbali na hilo pia TBL imekuwa ikizuia kabisa bia za kampuni hiyo zisiuzwe na kuwaagiza wamiliki wa baa wasiuze bia za kampuni hiyo ya Serengeti.

Hivyo kutokana na vitendo hivyo adhabu kali imechukuliwa didi yao na tume hiyo imetoa adhabu ya kuwakata asilimia tano ya mapato ya mwaka mzima kutoka katika kampouni hiyo.

 
Na Pilly Kigome, Dar    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Jamrock    Monday, May 24, 2010 11:44:12   
 
TEH TEH TEH,MOMOS SIJUI BIA GANI NDIO UNAIPENDELEA ZAIDI,AU HUWA UNASHUSHIA NA RUNGU AKA GONGO?TEH TEH TEH,BIASHARA NI USHINDANI,NA USHINDANI UWE WA HAKI NA SI KUTUMIA UBABE,HAYA SASA KUNYENI HIZO MILIONI KADHAA,NA IWE FUNDISHO KWA WENGINE,TEH TEH TEH
 
 
Mtoa Maoni: KAMILA USA    Monday, May 24, 2010 12:34:22   
 
si utani.

biashara ni biashara mura, hata ikiwa ni kwa fain.

hiyo hatua imetulia

 
 
Mtoa Maoni: wa tandale    Monday, May 24, 2010 15:02:21   
 
nakumbuka wiki iliyopita nilienda kwa macheni pale magomeni mapipa nikauliza serengeti wakasema hawauzi bia za serengeti wao wanauza tbl tupu basi
 
 
Mtoa Maoni: JUJUJ    Tuesday, May 25, 2010 18:49:14   
 
POLENI SLB HUO NI UTAPELI WA TBL HAWAJIAMINI NA BIDHAA ZAO KAMA WAO WANA AINA NYINGI ZA VINYWAJI WHY WORRY
 
 
Mtoa Maoni: MINA    Monday, May 31, 2010 09:45:11   
 
PILLY KIGOME mmh! inaelekea na wewe ni member wa kuzibua vyupa haya sasa mlipe hizo pesa mana kimsingi hamkufanya haki sio poua ingawa biashara ni ushindani hebu igeni mifano mizuri kutoka kwa kampuni zetu za simu akah! inahusu

JOSE bora wewe uanyekunywa mbege, JAMROCKY sambuka.. SEMENYA wewe mmh.. UBUGUVU mshukuru mzungu kwa kukufundisha kunywa yne.. KILIMA chang'aa mazee a.ka. GONGO KAMILA USA MMH wewe ni mtaalamu wa KOMONI PAKA BUJEE

 
 
       Jumla kuna maoni (11), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za biashara na uchumi
> Benki ya Vijana kuzinduliwa
> Jishindie Milioni 3 Kila Siku na Vodacom
> Precision Air yaanza safari za Bukoba
> Precision Air yazindua nauli maalumu ya Sunrise
> Zain sasa ni Airtel
> Nokia Yatoa Simu Zinazochajiwa na Baiskeli
> TBL yapigwa faini kuvuruga ushindani wa kibiashara
> Gharama za huduma za simu zazidi kupungua
> Uzalishaji wa Bia Mpya TBL Wasimama Baada ya Mitambo Kuungua
> Ewura yashtua wabunge kwa kuwa na matumizi makubwa
> Zain yaja na Balckberry Pre Paid
> Wakulima wa embe wasaidiwa milioni 126/-
> BOT, NMB ijiunge na umoja switch kuondoa kero
> Soko la samaki laingiza bilioni mbili
> Serengeti Breweries yatunzwa tunzo ya dhahabu
> VIDEO - Dhahabu Zatumika Kununulia Mkate Zimbabwe
> ATM 'Yapagawa' na Kuwajaza Watu Mapesa Italia
> Wafanyabiashara Watakiwa Kujitangaza
> BET Yatoa Elimu Kwa Wajasiliamali Nchini
> Wengi hawajui kama simu za zamani zinaweza kutumika kutengeneza vitu vingine
> Mmea wa Mbuyu Unatakiwa Kuzalishwa Kwa Wingi- Wizara
> Arusha Thomson Safaris named among 2009 Best Adventure Travel Companies on Earth
> Mifuko ya Rambo kupigwa marufuku Tanzania
> Uuzaji wa Pamba Nje Marufuku
> Uzalishaji Korosho Utashuka

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD