Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Kikwete azindua jengo la upasuaji wa moyo

NewsImages/4307154.jpg
Thursday, April 01, 2010 11:34 AM
RAIS Jakaya Kikwete ameweka jiwe la msingi katika jengo la tiba la magonjwa ya upasuaji wa moyo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, jijini Dar es Salaam.
Pia jengo hilo ni kituo cha mafunzo ya atiba ya magonjwa hayo nchini.

Udhamini wa Ujenzi huo umetokana na ahadi ya Rais Hu Jintao wa China, aliyoahidi kuisaidia Tanzania alipokutana na Rais Kikwete mwaka 2006 kwenye mkutano wa China-Africa jiji Beijing.

Kikwete alisema nchi ilikuwa inahitaji kwa miaka mingi kujenga kituo hicho na uwezo wa kutibu na kufanya upasuaji wa moyo nchini na sasa imeshukuru Rais Jintao kwa kujenga kituo hiko na Tanzani itakuwa imejikomboa katika changamoto hiyo.

Alisema nchi ilikuwa inatumia gharama kubwa sana za matumizi kusafirisha wagonjwa kuwapeleka nje ya nchi kwa ajili ya upasuaji wa moyo.

Hivyo hatua hiyo ni chachu ya matumaini na inawapeleka wataalamu 26 kutoka nchini kwenda India kupata mafunzoya upasuaji, wakiwemo madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo wanne na madaktari wa moyo sita.

MWaka huu ilidaiwa kulikuwa na wagonjwa wapato 200 wa maradhi ya moyo na kati yao walioweza kubahatika kupelekwa nje ni 60 na wengine bado hawajapelekwa kutokana na gharama kuwa kubwa kuwatibu wagonjwa hao.

Hivyo kituo hicho kitaleta faraja ya nchi na Tanzania ditakuwea miongoni mwa nchi zitkazoweza kutibu magonjwa hayo.
 
NaPilly Kigome, Dar    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: JOSE    Thursday, April 01, 2010 11:49:53   
 
Hongera sana JK hili ni jambo la kheri kwetu sisi watu wa hali ya chini kwani itapunguza vifo vya magonjwa ya moyo na kupunguza gharama kubwa zilizopo sasa.
Najua wazi wachina wanavitu vya bandia potelea mbali hata wakitujengea hosp ya bandia. MINA,hapo sasa wakina KAMILA USA wasikutishe tena mara itakapo kamilika na kwakuwa tunapeleka madaktari bigwa kwenda kujifunza ili wasije tutoa figo badala ya kutibu moyo.

Hongera JK ni hizo safari ndizo zinazotusaidia sisi kupata misaada.

 
 
Mtoa Maoni: Jamrock    Thursday, April 01, 2010 13:27:30   
 
TEH TEH TEH,Hapo hawatasema kama ni jengo ni la bandia ama la,maana ni mchina huyo ndio kalijenga,sasa bado moyo,nilishawaeleza huku kila kitu feki,sasa huduma ya moyo feki tumewasogezea karibu,haina haja ya kupanda ndege kuja china,sasa huduma hapo hapo bongo,TEH TEH TEH@MINA,KILIMA,UBUGUVU,SEMENYA,MOMOS016,MNAONA MAMBO YA MCHINA HAYO!!

 
 
Mtoa Maoni: mark.mushi    Thursday, April 01, 2010 14:04:24   
 
ubuguvu ki2 vp umekipata?kipopoa? mark.mushi kwa sasa anasikika na track yake inayoitwa futeni machozi,isikilize kupitia,www.makavulive.blogspot.com au www.tnzncommunity.blogspot.com
 
 
Mtoa Maoni: Jamrock    Thursday, April 01, 2010 17:04:22   
 
TEH TEH TEH,MANKA WA MUSHI,TUMEKUPATA,SASA UNATUMIA STYLE GANI,BONGO FLAVA AU FLAVA ZA BONGO?OH SAMAHANI KUMBE NI MRK MUSHI NA SI MANKA WA MUSHI,TEH TEH TEH,NGOJA TUTAISIKIA TUONE KAMA NAWE NI MSANII BORA AU BORA MSANII,@MINA,UBUGUVU,MOMOS,KILIMA,SEMENYA,BENDI YETU IMEPIGA HATUA KUBWA SANA,MPAKA SASA NIMESHANUNUA FIMBO ZA KUPIGIA DRUMS,TEH TEH TEH,VIPI JOSE NAWE UNGEPENDA KUJIUNGA?PIA TUNA CHAMA CHETU,LAKINI MI BADO NAPENDEKEZA KIITWE CHAMA CHA WADAU NA SI WANANCHI,MAANA HATUTAKI KUDANGANYA
 
 
Mtoa Maoni: Semenya    Thursday, April 01, 2010 22:14:14   
 
Hongera sana JK nakuzimia ile mbaya safari zako kwa kweli zinalipa unaipenda sana nchi yako Mungu akubariki na akuzidishie moyo huo huo,akujalie afya njema uzidi kutuongoza Amin.
@MARK MUSHI mistari imetulia mtu wangu lazima ule awadi hapo.KAMILA how r u doing? UBUGUVU,MINA,FISHERMAN,KING,KILIMA,JOSE mambozzz!!!
JAMROCK drums pia nunua huko huko.

 
 
       Jumla kuna maoni (11), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
More health news
> Azaliwa na Ugonjwa wa Ajabu Aona Dunia Chini Juu
> Lipstick ni hatari kwa wanawake wajawazito na watoto
> Kikwete azindua jengo la upasuaji wa moyo
> Watoto wenye vichwa vikubwa watatibiwa bure
> MOI yapata vifaa thabiti vya upasuaji ugonjwa wa Uti wa
> Bajeti Ndogo ni chanzo cha vifo vya Malaria
> Malaria bado Tishio Tanzania-Waziri
> Wagonjwa 25 wa Moyo Wamekwenda India leo
> Muhimbili Yapata Vipimo Vipya
> Ukerewe Yatikiswa na Ugonjwa wa Minyoo na Kichocho
> Baby With Extra Legs Protruding From Buttocks
> 'Man mountain' From 46st virgin to gym hunk
> Bibi wa miaka 92 ana mimba ya tangia mwaka 1948 mpaka leo
> Mtoto mnene kuliko wote dunia apungua kilo 191
> Jaribio Ya Chanjo ya Ugonjwa wa Kipindupindu Yaja
> Wachangia Lita 67 za Damu
> Boy has foot removed from brain
> 10-Pound Hairball Pulled From Girl's Stomach
> HIV illegal immigrant may have infected more than 400
> Planting the seeds of malaria control
> Smoking riskier for women's hearts

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD