Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Vitambulisho vya Taifa vitaanza kutolewa mwishoni mwa mwaka


Tuesday, February 09, 2010 11:03 AM
MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), imesema awamu ya kwanza ya utoaji vitambulisho vya Taifa vitaanza kutolewa mwishoni mwa mwaka huu.
Taarifa hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Nida, Dickson Maimu, alipokuwa akizungumza vyombo vya habari.

Alisema awamu hiyo itawahusu kwa wale wasiokuwa na uraia wa nchi hii

Alifafanua kuwa mradi wa vitambulisho utakuwa na miradi midogo midogo 14 itakayoweza kuzungumza na sekta zingine.

Alisema mchakato wa kuwapa uraia kwa wale wasiokwua raiaa wan chi ukiisha mchakato huo utaingia katika hatua nyingine ya kugawa kwa wananchdi wote.

Alisema utoaji wa vitambulisho utasaidia utambuzi wa uraia, utasaidia kuwatambua wanafunzi wa elimu ya juu waliochukua mikopo kutoka Bodi ya Mikopo, ukusanyaji wa mapato ya serikali na kuwatambua watu ambao ni wahalifu.

Faida nyingine ni kuwatambua watu wanaokopa benki na kushindwa kulipa, kumtambua mfanyabiashara anayetumia majina tofauti, kumsaidia mtu kupata malipo ya pensheni kutambua kumbukumbu za watumishi wa serikali na kusaidia zoezi la kuhesabu watu.



 
Na Mwandishi Wetu, Dar    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Jamrock    Tuesday, February 09, 2010 11:51:40   
 
Hatua mliyofikia sana ni nzuri pia inatia matumaini kama tu mnayoyasema ni ya kweli,maana hapa itasaidia kujua who's who,bongo nilikutana na congo,wanigeria wakiwa na pasi za kibongo,hata kiswahili hawakijui then wanamiliki pp,sasa sheshe litakuja katika kugawa hivyo vitambulisho,polisi hapo wanasubiri kwa hamu hiyo siku ifike,kwani itakuwa ni siku ya neema kwa wale wasiomuogopa bosi wao kova
 
 
Mtoa Maoni: DeClarkes    Tuesday, February 09, 2010 11:56:28   
 
Nadhani waandaji wasisahau umuhimu wa kuwaandaa wananchi kwa hivyo vitambulisho - ni muhimu
 
 
Mtoa Maoni: MINA    Tuesday, February 09, 2010 14:03:34   
 
NAona toka elfu 2010 ianze ahadi zinakuwnzito yani tukianz akuhiesabu hapa tutakesha mmh! haya tusubiri tuone sijui lakini kila la kheri serikali yetu ya awamu ya 4 hayo ndio maisha bora kwa kila mtanzania.. BIG UP
 
 
Mtoa Maoni: Semenya    Tuesday, February 09, 2010 21:08:29   
 
@MINA unanicheka kwa sababu niko lonely sio sina mchumba,utaniunga MOMSO akienda canada valentine's day kwenye ile issue ya ma toilet.
Au niongee na NAUTIA KAS chemba afanye kama alivyofanya siku ile hahahhaaaa mara hii haiji mvua tupu itaambatana na snow.

Anyways hiyo ilikua warm up naona jamvi limepoa. Ss kwenye mada sio wazo baya mambo ya vitambulisho lakini madamu afrika rushwa ndio zaidi hao wageni nao watakua nazo tu pia hizo ID.

 
 
      
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za Tanzania
> VIDEO ya Salamu za EID MUBARAK Toka Nifahamishe.Com
> Mzungu wa Mtibwa Afukuzwa Nchini Kwa Lugha Chafu
> Kesi ya Rama yahamishiwa Mahakama Kuu
> Wanawake tumieni fursra hii
> Walimu 14 mbaroni kwa wizi wa mitihani, Songea, Mwanza
> Polisi kwa kete 300 za bangi
> Tani za mtama usiofaa wakamatwa Zanzibar
> Jeshi la Polisi laimarisha ulinzi Kariakoo
> Tendwa atupilia mbali pingamizi la Chadema
> Aangua kilio baada ya kutapeliwa- Kar iakoo
> Sheria isipofata mkondo wake, nitaandaa maandamano-Baswalehe
> Darasa la 7 waanza mitihani leo
> Askofu Awaponda Wanaomtukana Kikwete
> Kampeni zachachamaa, wapinzani nao watoa ahadi
> JK aendelea kutoa ahadi
> Pingamizi la Chadema baada ya siku 5
> Chadema yawasilisha pingamizi
> Wanafunzi waweweseka Tabata
> Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dodoma yateketea
> Ramli ya Joseph ilisema hivi!
> 7 papohapo, wengine majeruhi ajalini- Mabibo
> Makahaba msipotoshe vazi hili!
> Sakata la kugombania maiti bado tata
> Mahakamani kwa kujipatia ngono kwa njia ya madawa ya kulevya
> Chadema yamuwekea pingamizi Kikwete

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
1 Kanisa Lasisitiza Kuchoma Mot...
2 VIDEO - Simba Alipomgeuza Asu...
3 Kelele za Kimahaba Zamponza
4 Mzungu wa Mtibwa Afukuzwa Nch...
5 Kesi ya Rama yahamishiwa Maha...
6 Wanawake tumieni fursra hii
7 Walimu 14 mbaroni kwa wizi wa...
8 Hatimaye Kanisa Laahirisha Ku...
9 Viagra Ya Saudi Arabia Yazua ...
10 VIDEO ya Salamu za EID MUBARA...
Photo Gallery
Photo Album

 Ukisikia Wazazi bomu
Random Photo

 Duh pole sana
Habari Mpya Mpya
> VIDEO ya Salamu za EID MUBARAK Toka Nifahamishe.Com
> Hatimaye Kanisa Laahirisha Kuchoma Moto Quran
> Viagra Ya Saudi Arabia Yazua Mzozo
> Mzungu wa Mtibwa Afukuzwa Nchini Kwa Lugha Chafu
> Kesi ya Rama yahamishiwa Mahakama Kuu
> Wanawake tumieni fursra hii
> Walimu 14 mbaroni kwa wizi wa mitihani, Songea, Mwanza
> Kanisa Lasisitiza Kuchoma Moto Quran Jumamosi
> Kelele za Kimahaba Zamponza
> VIDEO - Simba Alipomgeuza Asusa Mkufunzi Wake