Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Meseji yazua utata kwa wanandoa


Monday, February 08, 2010 11:24 AM
MWANAMKE mmoja [32] [jina kapuni] mkazi wa Ukonga Mombasa jijini Dar es Salaam,anamlazimisha mume wake ampe talaka kinguvu kwa kushindwa kuvumilia baada ya kukuta meseji ya kimapenzi kwenye simu ya mume wake.

MWanamke huyo alimtaka mume wake huyo ampe talaka kwa kukuta meseji ambayo inamfanya akose raha kwenye nyumba yake hiyo na kudai kuwa anaweza akamfanya kitu kibaya mume wake huyo na kuomba bora apewe talaka kwa kuepusha matatizo.

MWanamke huyo alikuta ujumbe wa simu kutoka kwa hawara wa mumeme huyo, uliomfanya akose raha na baada ya kumuuliza mume wake huyo alimjibu kuwa huyo dada wakikuwa wakitaniana mara kwa mara na kumsihi mkewe huyo kuwa haikuwa kweli.

Ujumbe alioufuma dada huyo kutoka kwenye simu hiyo ulisema kuwa “ nimekumisi sana mpenzi wangu, penzi lako la jana lilikuwa zuri sana sitaweza kulisahau, naomba tuoanane kesho jioni” ulisema ujumbe huo

Baada ya kukuta meseji hiyo dada huyo alihamisha ujumbe huo kwenye simu yake na kuhamisha kwenye line nyingine ya simu ya ziada na kisha kumuuliza mumewe huyo kama alikuwa na uhusiano na mwanamke mwingine.

ALidai kuwa, mumewe huyo alikana kuwa na mahusiano na mwanamke mwingine bila kutambua kuwa mke wake huyo aliangalia ujumbe uliohifandiwa katika simu yake hiyo.

Alidai alimuuliza mara ya pili na kumwambia kuwa alikuwa anahitaji talaka yake kwa kuwa alibaini ana mahusiano na mwanamke mwingine alipoendelea kubisha alichukua simu na kumuonyesha ujumbe huo na baba huyo kukosa jibu kwa muda huo na kumwambia kuwa huyo dada walikuwa wakitaniana mara kwa mara.


Baba huyo alianza kumsihi mke wake asiwe na jazba kwa kuwa haikuwa kweli ila ni utani ambao walikuwa wakitaniana na huyo dada mara kwa mara.

Maelezo yake hayo hakuweza kuyaelewa na kumuamuru ampe talaka ili kila mtu aweze kuishi kwa amani kwa kuwa alishamuudhi kupita kiasi.

HAdi nifahamishe inaandika habari hii ilipofanya mawasiliano na dada huyo alikuwa hajapata talaka hiyo na ameondoka nyumbani kwake hapo na kwenda kupumzika kwa rafiki yake ili aweze kupata talaka hiyo.

Kwa habari zaidi juu ya tukio hili itawajia

 
Na MWandishi WEtu, Dar    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: DeClarkes    Monday, February 08, 2010 12:37:33   
 
Nadhani hiyo sms sio kigezo cha kutaka talaka, nadhani cha muhimu ni kwamba afanye utafiti wa kina. Ajifanyie evaluation ya kwa nini mtu anatoka, na aboreshe huduma zake kumshinda rivarly wake kwenye penzi. Kama anahisi talaka ni solution basi ataomba kwa kila mwanaume! Na- imagine angekuwa ni mmoja wa wake wa Zuma sijui angejikaanga?
 
 
Mtoa Maoni: KING    Monday, February 08, 2010 16:26:23   
 
@DE CLARKES naungana nawe kwa 100% mdau, labda pia niongezee machache....
_Hv huyu m'ke alikuwa anamtafutia mumewe kisa nn, mbona hakuomba hata walijadili?
_Siku hz kuna kuharibiana, je kama imetumwa kwa kusudi tu la kuharibu ndoa yake?
_Amejuaje kama ni hawara? Ama wanafahamina? Labda ujumbe wamaanisha vinginevyo.
_Halafu huyu anajitakia pressure za bure, kukimbilia simu za mumewe ndo nn?
_Hata kama kweli mume amepotoka, katu kukimbilia taraka c suruhu. Mbona linazungumzika hili?

 
 
Mtoa Maoni: Super "T"    Monday, February 08, 2010 16:47:25   
 
duh Declarkes umenichekesha sn eti imagine angekuwa mke wa zuma!! huyo mm aache utoto hakuna penzi la peke yako ck hz ni kumuongezea mzee speed ya malavedave uone kama atafurukuta
 
 
Mtoa Maoni: Ashanti    Monday, February 08, 2010 20:29:50   
 
Wabongo tatizoletu kubwa tunakurupuka. Mpeni huyu dada ushauri mzuri si kumsagia alafu mnabase upande mmoja. Talaka si solution ila msaidieni mtu mhusika si kumsagia.

 
 
Mtoa Maoni: Semenya    Monday, February 08, 2010 23:47:28   
 
@Ashanti nakuunga mkono asilimia 3000 umeongea la maana kabisa. Wanaume wanajitetea sana ata hivyo
huyo dada kachukua uamuzi katika hasira but its not advisable to make decisions when ur mad. Bora wakae chini na my husband wake walitatue kijitu kizima na madamu mume kajitetea basi ampatie chance nyengine ila akirudia tena bac napitisha talaka 12 kwa pamoja.

 
 
       Jumla kuna maoni (14), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za Tanzania
> VIDEO ya Salamu za EID MUBARAK Toka Nifahamishe.Com
> Mzungu wa Mtibwa Afukuzwa Nchini Kwa Lugha Chafu
> Kesi ya Rama yahamishiwa Mahakama Kuu
> Wanawake tumieni fursra hii
> Walimu 14 mbaroni kwa wizi wa mitihani, Songea, Mwanza
> Polisi kwa kete 300 za bangi
> Tani za mtama usiofaa wakamatwa Zanzibar
> Jeshi la Polisi laimarisha ulinzi Kariakoo
> Tendwa atupilia mbali pingamizi la Chadema
> Aangua kilio baada ya kutapeliwa- Kar iakoo
> Sheria isipofata mkondo wake, nitaandaa maandamano-Baswalehe
> Darasa la 7 waanza mitihani leo
> Askofu Awaponda Wanaomtukana Kikwete
> Kampeni zachachamaa, wapinzani nao watoa ahadi
> JK aendelea kutoa ahadi
> Pingamizi la Chadema baada ya siku 5
> Chadema yawasilisha pingamizi
> Wanafunzi waweweseka Tabata
> Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dodoma yateketea
> Ramli ya Joseph ilisema hivi!
> 7 papohapo, wengine majeruhi ajalini- Mabibo
> Makahaba msipotoshe vazi hili!
> Sakata la kugombania maiti bado tata
> Mahakamani kwa kujipatia ngono kwa njia ya madawa ya kulevya
> Chadema yamuwekea pingamizi Kikwete

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Namabengo Computer Repairing Services Call: 0762-486583 0r 0712-409641
Habari Zilizosomwa Sana
1 Kanisa Lasisitiza Kuchoma Mot...
2 VIDEO - Simba Alipomgeuza Asu...
3 Kelele za Kimahaba Zamponza
4 Mzungu wa Mtibwa Afukuzwa Nch...
5 Kesi ya Rama yahamishiwa Maha...
6 Wanawake tumieni fursra hii
7 Walimu 14 mbaroni kwa wizi wa...
8 Hatimaye Kanisa Laahirisha Ku...
9 Viagra Ya Saudi Arabia Yazua ...
10 VIDEO ya Salamu za EID MUBARA...
Photo Gallery
Photo Album

 Ukisikia Wazazi bomu
Random Photo

 Duh pole sana
Habari Mpya Mpya
> VIDEO ya Salamu za EID MUBARAK Toka Nifahamishe.Com
> Hatimaye Kanisa Laahirisha Kuchoma Moto Quran
> Viagra Ya Saudi Arabia Yazua Mzozo
> Mzungu wa Mtibwa Afukuzwa Nchini Kwa Lugha Chafu
> Kesi ya Rama yahamishiwa Mahakama Kuu
> Wanawake tumieni fursra hii
> Walimu 14 mbaroni kwa wizi wa mitihani, Songea, Mwanza
> Kanisa Lasisitiza Kuchoma Moto Quran Jumamosi
> Kelele za Kimahaba Zamponza
> VIDEO - Simba Alipomgeuza Asusa Mkufunzi Wake