Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Autoa Sadaka Ulimi Wake Ili Apate Mtoto


Mungu wa Kihindu, Shiva
Monday, February 08, 2010 2:09 AM
Mwanaume mmoja wa nchini India ambaye pamoja na jitihada zake zote alishindwa kupata mtoto katika ndoa yake ya miaka minne, aliamua kuukata ulimi wake na kuutoa sadaka kwa miungu ya kihindi.
Mukesh Kumar mkazi wa kijiji cha Banthari katika jimbo la Uttar Pradesh nchini India, ameamua kuutoa kafara ulimi wake baada ya kushindwa kupata mtoto katika ndoa yake ya miaka minne.

Kumar ambaye siku zote amekuwa akigoma kwenda hospitali kutafuta ufumbuzi wa tatizo hilo, aliamua kwenda kwenye mahekalu ya miungu wa kihindu na kuutoa kafara ulimi wake.

Kumar alikuwa akiamini kuwa iwapo atautoa kafara ulimi wake kwa mungu wa kihindu anayeitwa Shiva basi atapata mtoto.

Hata hivyo kitendo chake cha kukikata kipande kikubwa cha ulimi wake kilimsababishia maumivu makali pamoja na kusababisha hali yake iwe na mbaya kiasi cha watu waliokuwa karibu yake kuamua kumwahisha hospitali.

Madaktari walifanikiwa kukiunganisha tena kwa njia ya operesheni kipande cha ulimi wake ambacho awali Kumar alikitoa kafara kwa matumaini ya kupata mtoto.

 
    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: KING    Monday, February 08, 2010 09:18:13   
 
Naaam......malimwengu ya walimwengu haya. Imesemwa ukistaajabu ya Mussa basi utaja ona ya firauni, hakika haya ni ya firauni. Natumai mwandishi ataja tufahamisha huko baadae kama maombi yamefanikiwa.........tusubiri tuje kuona.
 
 
Mtoa Maoni: MINA    Monday, February 08, 2010 11:18:34   
 
Aswaa king si uongo yani sijui niseme ni imani potofu au vipi sasa hivi kweli taingia lini mtu akakata kiungo chake cha mwaili kwa ajili ya kupata kitu fulani sijawahi kusikia hii ndio mar ayangu ya kwanz ayani... pole sana siku nyingine utakata pua... BHAI upo na wewe kakate mguu DILLY apate mtoto
 
 
Mtoa Maoni: Great Thinker    Monday, February 08, 2010 15:27:55   
 
Makubwa haya ya India. Mimi natahadharisha chonde chonde wachangiaji msije mkamgusa Bhai hapo kuhusu habari hii anaweza kuchafua hali ya hewa, teh teh teh!!!!

 
 
Mtoa Maoni: joshua john    Tuesday, February 09, 2010 13:13:47   
 
Nawatahadharisha wahindi waache kudanganyika na miungu yao wamwamini MUNGU wakweli
 
 
Mtoa Maoni: lisa mick    Tuesday, February 09, 2010 14:48:57   
 
heeeeee jamani hao wahindi wanaimani kali kiasi cha kuukata ulimi kwa kutegemea muujiza kwa mungu ambaye umemtengeneza mwenyewe umeona wapi mungu akatengenezwa na mwanadamu aliye muumba mwenyewe jamani tuangalie imani zisitupeleke pabaya
 
 
       Jumla kuna maoni (7), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za dunia
> 'Yesu Alikuwa ni Muathirika wa Ukimwi'
> PICHA - Mapenzi Yanaua..
> Siri ya Kimada Yafichuka
> Ajinyonga Baada ya Kunyimwa Mkopo
> VIDEO - Mwanaume Anayemchezea Simba Sharubu
> Miaka 9 Jela Kwa Kuendesha Gari Huku Akiangalia Ngono
> Kama Siku ya Kufa Haijafika...
> Mapenzi Yanapozidi....
> 'Osama Bin Laden ni Kibaraka wa Marekani' - Fidel Castro
> Madaktari Watupiana Makonde Chumba cha Uzazi
> Mgahawa wa Nyama za Binadamu Wafunguliwa Ujerumani
> Rais wa Zamani wa Madagascar Ahukumiwa Kifungo cha Maisha
> Hali Hii Isifike Bongo..
> Kitabu cha Katuni za Kumkashifu Mtume Kutolewa Mwezi Ujao
> Mwarabu Ampigilia Misumari 24 Hausigeli Wake
> Nyota wa Muziki Aliyewaambukiza Watu Ukimwi Anusurika Kwenda Jela
> Miaka 20 Jela Kwa Kumtikisa Mtoto Wake Mchanga
> Wazikwa Hai Hadi Disemba...
> VIDEO - Magari 46 Yagongana, Watu 72 Wajeruhiwa
> VIDEO - Foleni Bongo?
> Semenya Azua Tena Mjadala wa Jinsia Yake
> Msiba Juu ya Msiba
> VIDEO - Kichaa cha Mpishi Baada ya Kufukuzwa Kazi
> Iran Yazindua 'Balozi wa Kifo'
> Miaka 25 Jela Kwa Kuiba Chakula Kanisani

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
1 'Yesu Alikuwa ni Muathirika w...
Photo Gallery
Photo Album

 Ukisikia Wazazi bomu
Random Photo

 Ashakum
Habari Mpya Mpya
> 'Yesu Alikuwa ni Muathirika wa Ukimwi'
> PICHA - Mapenzi Yanaua..
> Askofu Awaponda Wanaomtukana Kikwete
> Siri ya Kimada Yafichuka
> Ajinyonga Baada ya Kunyimwa Mkopo
> VIDEO - Mwanaume Anayemchezea Simba Sharubu
> Kampeni zachachamaa, wapinzani nao watoa ahadi
> JK aendelea kutoa ahadi
> Pingamizi la Chadema baada ya siku 5
> Urefu Wasababisha Aache Shule ya Msingi