Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Watoto wenye vichwa vikubwa watatibiwa bure

NewsImages/3275674.jpg
Tuesday, October 06, 2009 10:45 AM
SERIKALI imetangaza kwamba watoto wenye matatizo ya vichwa vikubwa na wale wenye matatizo ya uti wa mgongo watapata matibabu hayo nchini bure katika taasisi ya mifupa MOI.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Bi. Blandina Nyoni ameyasema hayo wkati wa mkutano maalumu wa kuzungmza na wazazi wenye watoto wenye matatizo hayo jijini Dar es Salaam.

Serikali kupitia Taasisi ya Tiba ya Mifupa ya Muhimbili, MOI, imeamua kuanza kutoa matibabu kwa watoto hao bure katika taasisi hiyo.

Amesema awali matibabu hayo yalikuwa yakitolewa na Hospitali za nje na CCBRT.
Amesema awali taasisi hiyo ilikuwea inatoa huduma hiyo lakini kutokana na matatizo ya kiufadhili ilisitisha huduma hiyo na sasa imerudisha huduma hiyo kutokana na wazazi wengi hawana uwezo wa kutibia watoto hao.

Amesema kwa upande wa Serikali imejidhatiti na itahakikisha hakuna mtoto yeyote anayekosa kupata matibabu kwa sababu mzazi wake hana uwezo.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Prof. Lawrence Museru amesema Hospitali yake imeamua kuchukua jukumu hilo baada ya kuona matatizo hayo yanazidi kuwa makubwa na wazazi kujikuta hawana pa kuwapeleka kutokana na hospitali nyingi kutokuwa na uwezo wa kuwahudumia.

Prof. Museru ameeleza kuwa taasisi hiyo inatumia njia ya kisasa inayojulikana kama ETV kwa ajili ya kuwahudumia watoto hao.


 
Na Chondoma Shabani Dar    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: KING    Tuesday, October 06, 2009 11:11:09   
 
Nice move! Tunategemea haya hayatakuwa maneno matupu na yatatekelezwa kivitendo haswaaa. Ni kweli kwa kipindi sasa watoto wengi wamekuwa wakikabiliwa na haya matatizo bali gharama zimekuwa juu sana na wengi kuishia kukimbilia kwenye media kuomba msaada, ni ukweli kwamba wengi wamefariki kwa kutomudu gharama. HONGERENI SANA WIZARA YA AFYA KWA KULIONA HILI!
 
 
Mtoa Maoni: Ubuguvu    Tuesday, October 06, 2009 12:38:00   
 
Chondoma Shaban umerudi ulipotea kama miezi miwili hivi na ushei hatujaona jina lako au wewe ndo yule Na muandishe wetu dar. tuje huku sasa Kuwapa matibabu ya bure wagonjwa mwanzo mzuri na iendele kwa wagonjwa wengine. Matibabu yemegawanyika sehemu 2 sehemu ya 1 vipimo kujua tatizo lake na dawa gani itakaemfaa na vipi atumie, 2 upatikanaji wa dawa mara nyingi tz tunambiwa matibabu bure lakini cha ajabu sasa unapata vipimo tu na dawa unaenda kununua mwenyewe hii sio matibabu bure na badala yake waseme serekali itasaidia nusu ya matibabu kutoa wataala weke bure
 
 
Mtoa Maoni: Makaba wa kwetu    Wednesday, October 07, 2009 21:19:20   
 
wewe unaye jiita moshi wa Italy nadhani wewe ni msenge kabisa maana kila kitu italia umeme hakuna
 
 
Mtoa Maoni: vlaYoHXFCrZR    Friday, July 01, 2011 04:02:58   
 
The forum is a brghiter place thanks to your posts. Thanks!
 
 
Mtoa Maoni: aizPYNpk    Monday, July 04, 2011 18:41:03   
 
zJB69k , [url=http://fudhbrhpojrs.com/]fudhbrhpojrs[/url], [link=http://mhwhgefuiuvo.com/]mhwhgefuiuvo[/link], http://wnjgjftkopgs.com/
 
 
       Jumla kuna maoni (11), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
More health news
> Azaliwa na Ugonjwa wa Ajabu Aona Dunia Chini Juu
> Lipstick ni hatari kwa wanawake wajawazito na watoto
> Kikwete azindua jengo la upasuaji wa moyo
> Watoto wenye vichwa vikubwa watatibiwa bure
> MOI yapata vifaa thabiti vya upasuaji ugonjwa wa Uti wa
> Bajeti Ndogo ni chanzo cha vifo vya Malaria
> Malaria bado Tishio Tanzania-Waziri
> Wagonjwa 25 wa Moyo Wamekwenda India leo
> Muhimbili Yapata Vipimo Vipya
> Ukerewe Yatikiswa na Ugonjwa wa Minyoo na Kichocho
> Baby With Extra Legs Protruding From Buttocks
> 'Man mountain' From 46st virgin to gym hunk
> Bibi wa miaka 92 ana mimba ya tangia mwaka 1948 mpaka leo
> Mtoto mnene kuliko wote dunia apungua kilo 191
> Jaribio Ya Chanjo ya Ugonjwa wa Kipindupindu Yaja
> Wachangia Lita 67 za Damu
> Boy has foot removed from brain
> 10-Pound Hairball Pulled From Girl's Stomach
> HIV illegal immigrant may have infected more than 400
> Planting the seeds of malaria control
> Smoking riskier for women's hearts

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD