Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
MOI yapata vifaa thabiti vya upasuaji ugonjwa wa Uti wa
Advertisement


Monday, July 06, 2009 9:37 AM
TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo ya Muhimbili [MOI] imepata msaada wa vifaa vya upasuaji wa Uti wa Mgongo vinavyotambulika kwa jina la Extreme Lateral Lumber Interbody Fussion vyenye thamani ya shilingi Mil. 370.

Vifaa hivyo vilikabidhiwa mwishoni mwawiki kutoka kwa Dk. Roy Vingan wa nchini Marekani.

Akizungumza katika makabidhiano hayo Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Bi. Blandina Nyoni amesema vifaa hivyo itakuwa ni suluhisho la ugonjwa huo ambapo mwanzoni havikuwepo.

Amesema Dk. Vingan ametoa vifaa hivyo kwa ajili ya kusaidia Taifa la Tanzania kwa ujumla ili waweze kusaidiwa kutibiwa matatizo hayo.

Amesema vifaa hivyo vina uwezo wa kufanya upasuaji kwa haraka zaidi na kwa muda mchache sana tofauti na vilivyokuwepo mwanzoni katika taasisi hiyo ambavyo vilikuwa vinatumia masaa zaidi ya manne kufanya upasuaji.

Dk. Vingan amesema ametoa msaada huo kwa lengo la kulisaidia Taifa kutatua tatizo la upasuaji wa magonjwa hayo kiurahisi.

Amesema kuwa kwa nchi za Afrika ya Mashariki vifaa hivyo vinapatikana nchi ya Kenya tu hivyo Tanzania itakuwa ya pili kuwa na vifaa hivyo vya upasuaji wa ugonjwa huo. 
Na Chondoma Shabani, Dar es Salaam    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: CirilleSekamaga    Tuesday, September 16, 2014 11:59:05   
 
Mungu amjalie afya na maisha marefu Dk Vingan kwa msaada huo mkubwa kwa watanzania na wengine kwa ujumla. Good GOD bles u Dk.
 
 
      
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
More health news
> Azaliwa na Ugonjwa wa Ajabu Aona Dunia Chini Juu
> Lipstick ni hatari kwa wanawake wajawazito na watoto
> Kikwete azindua jengo la upasuaji wa moyo
> Watoto wenye vichwa vikubwa watatibiwa bure
> MOI yapata vifaa thabiti vya upasuaji ugonjwa wa Uti wa
> Bajeti Ndogo ni chanzo cha vifo vya Malaria
> Malaria bado Tishio Tanzania-Waziri
> Wagonjwa 25 wa Moyo Wamekwenda India leo
> Muhimbili Yapata Vipimo Vipya
> Ukerewe Yatikiswa na Ugonjwa wa Minyoo na Kichocho
> Baby With Extra Legs Protruding From Buttocks
> 'Man mountain' From 46st virgin to gym hunk
> Bibi wa miaka 92 ana mimba ya tangia mwaka 1948 mpaka leo
> Mtoto mnene kuliko wote dunia apungua kilo 191
> Jaribio Ya Chanjo ya Ugonjwa wa Kipindupindu Yaja
> Wachangia Lita 67 za Damu
> Boy has foot removed from brain
> 10-Pound Hairball Pulled From Girl's Stomach
> HIV illegal immigrant may have infected more than 400
> Planting the seeds of malaria control
> Smoking riskier for women's hearts

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD