Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Bajeti Ndogo ni chanzo cha vifo vya Malaria
Advertisement


Tuesday, April 28, 2009 12:49 PM
BAJETI ndogo inayotolewa na Serikali katika vituo vya afya nchini ni chanzo cha ongezeko la vifo vya Malaria nchini.
Kutokana na hali hiyo ya kutolewa bajeti ndogo kwa Serikali inasababisha ukosefu wa vifaa vinavyohitajika katika vituo vya afya katika kukabiliana na ugonjwa wa Malaria.

Hayo yalisemwa na Mratibu wa Malaria na Magonjwa ya watoto chini ya miaka mitano Dk. Zena Mtajuka.

Mtajuka alisema bajeti inayotolewa na serikali ya kukabiliana na kudhibiti ugonjwa huo ni finyu sana haiwezi kukabiliana na kumaliza tatizo hilo.

Alisema kuwa bajeti hiyo inasababisha kukosekana kwa vifaa na vipimo madhubuti katika vituo vya afya na kupelekea vifo vinavyotokana na malaria vya watoto chini ya miaka mitano kuongezeka siku hadi siku.

Hivyo alitoa wito kwa serikali kutoa bajeti kubwa ya kutosheleza kwenye vituo vya afya ili kuweza kukabiliana na tatizo hilo.
 
Na Chondoma Shabani, Dar es Salaam    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Twila    Thursday, June 18, 2009 15:56:43   
 
sasa utawala sijuwi unafikiria nn mpaka unaweka mipango ya hospital nyuma. haya ndugu zangu ni vifo hivyo
 
 
Mtoa Maoni: soud    Tuesday, November 10, 2009 06:59:53   
 
Labda sisi watanzania tuna idadi kubwa kama Chaina na India ndio maana wizara ya Afya haijali na wanawacha wanakufa tu mungu yupo atasaidia
 
 
Mtoa Maoni: zToeopnVZga    Friday, July 01, 2011 03:30:26   
 
Boy that raelly helps me the heck out.
 
 
Mtoa Maoni: HPXKXZxqElLA    Monday, July 04, 2011 18:40:44   
 
noMNAF , [url=http://nvbtrbzsmlnn.com/]nvbtrbzsmlnn[/url], [link=http://iiiazbgzvfea.com/]iiiazbgzvfea[/link], http://xixtfipivgqo.com/
 
 
Mtoa Maoni: HPXKXZxqElLA    Monday, July 04, 2011 18:40:49   
 
noMNAF , [url=http://nvbtrbzsmlnn.com/]nvbtrbzsmlnn[/url], [link=http://iiiazbgzvfea.com/]iiiazbgzvfea[/link], http://xixtfipivgqo.com/
 
 
       Jumla kuna maoni (19), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
More health news
> Azaliwa na Ugonjwa wa Ajabu Aona Dunia Chini Juu
> Lipstick ni hatari kwa wanawake wajawazito na watoto
> Kikwete azindua jengo la upasuaji wa moyo
> Watoto wenye vichwa vikubwa watatibiwa bure
> MOI yapata vifaa thabiti vya upasuaji ugonjwa wa Uti wa
> Bajeti Ndogo ni chanzo cha vifo vya Malaria
> Malaria bado Tishio Tanzania-Waziri
> Wagonjwa 25 wa Moyo Wamekwenda India leo
> Muhimbili Yapata Vipimo Vipya
> Ukerewe Yatikiswa na Ugonjwa wa Minyoo na Kichocho
> Baby With Extra Legs Protruding From Buttocks
> 'Man mountain' From 46st virgin to gym hunk
> Bibi wa miaka 92 ana mimba ya tangia mwaka 1948 mpaka leo
> Mtoto mnene kuliko wote dunia apungua kilo 191
> Jaribio Ya Chanjo ya Ugonjwa wa Kipindupindu Yaja
> Wachangia Lita 67 za Damu
> Boy has foot removed from brain
> 10-Pound Hairball Pulled From Girl's Stomach
> HIV illegal immigrant may have infected more than 400
> Planting the seeds of malaria control
> Smoking riskier for women's hearts

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD