Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Serengeti Breweries yatunzwa tunzo ya dhahabu
Advertisement


Wednesday, March 18, 2009 8:24 AM
KAMPUNI ya Bia ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imefanikiwa kupata medani ya dhahabu kwa mara nyingine kutokana na uzalishaji wa bidhaa za bia halisi ambazo hazijachanganywa na kemikali yoyote.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii Meneja Mahusiano wa SBL Teddy Mapunda alisema kwa kipindi cha mwaka huu wamefanikiwa kupata medani mbili za dhahabu kutokana na bia ya Serengeti na The Kick ambazo zote zinatengenezwa na SBL Tanzania.


Mapunda alisema SBL imekuwa ikishiriki mashindano ya bidhaa zinazozalishwa kwa nafaka halisia ambayo hufanyika nchini Ujerumanni chini ya Deutsche Landwirtschafts Gesellschaft (DLG).

Alisema SBL imekuwa ikipeleka aina ya bidhaa wanazozalisha kila mwaka ambapo hushindanishwa na makampuni mwengine ulimwenguni kote na hutolewa medali mbalimbali kulingana na ubora wa bidhaa.

Meneja Mahusiano huyo alisema kampuni ya SBL imekuwa ikitumia shairi halisi katika kuzalisha bidhaa zake hivyo kusababisha wao kuibuka washindi kila wanaposhiriki.

"Tumefanikiwa kuibuka washindi tena katika mashindano ya DLG na tunatarajia kufanya vizuri tena kwa miaka ijayo kwani sisi bidhaa zetu ni halisi na hatuchanganyi na kemikali yoyote," alisema.

Alisema kutoka na ushindi huo soko la bidhaa zao limeongezeka nje ya nchi na matarajia ni soko kuongezeka zaidi.

Mapunda alisema SBL itaendelea kutengeneza bidhaa zenye ubora wa kimataifa ili kuhakikisha kuwa soko linaongezeka siku hadi siku.

Kwa upande wake Mpishi Mkuu wa SBL Ralf Schuster alisema mikakati yake ni kuhakikisha kuwa SBL inaendelea kuibuka mshindi katika mashindano hayo ambayo yanashirikisha makampuni mengi.

Alisema medani ya dhahabu zinatolewa kwa nusu ya makampuni ambayo yanashiriki mashindano hayo ambayo yalianza mwaka 1885.

Schuster alisema kupitia mashindano hayo kampuni nyingi za uzalishaji wa bidhaa mbalimbali zimekuwa zikishiriki kwa kupeleka bidhaa zao.

Mpishi Mkuu huyo alisema SBL kwa sasa imechapeleka bidhaa zake kwa mashindano ya mwaka ujao ambao wanatarajia kuwa wataibuka na ushindi.
 
SULEIMAN KIPIMO    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Andrew Marandu    Friday, April 30, 2010 20:31:45   
 
Naipenda Serengeti Bia.

Ni nzuri na ina ladha nzuri.


 
 
Mtoa Maoni: SCANOILA HASSAN    Friday, November 19, 2010 07:57:10   
 
Really?
 
 
Mtoa Maoni: alobadilijina.    Wednesday, October 24, 2012 22:20:06   
 
achana na ulevi. do not spend your money to become a stupid drunken.
 
 
      
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za biashara na uchumi
> Benki ya Vijana kuzinduliwa
> Jishindie Milioni 3 Kila Siku na Vodacom
> Precision Air yaanza safari za Bukoba
> Precision Air yazindua nauli maalumu ya Sunrise
> Zain sasa ni Airtel
> Nokia Yatoa Simu Zinazochajiwa na Baiskeli
> TBL yapigwa faini kuvuruga ushindani wa kibiashara
> Gharama za huduma za simu zazidi kupungua
> Uzalishaji wa Bia Mpya TBL Wasimama Baada ya Mitambo Kuungua
> Ewura yashtua wabunge kwa kuwa na matumizi makubwa
> Zain yaja na Balckberry Pre Paid
> Wakulima wa embe wasaidiwa milioni 126/-
> BOT, NMB ijiunge na umoja switch kuondoa kero
> Soko la samaki laingiza bilioni mbili
> Serengeti Breweries yatunzwa tunzo ya dhahabu
> VIDEO - Dhahabu Zatumika Kununulia Mkate Zimbabwe
> ATM 'Yapagawa' na Kuwajaza Watu Mapesa Italia
> Wafanyabiashara Watakiwa Kujitangaza
> BET Yatoa Elimu Kwa Wajasiliamali Nchini
> Wengi hawajui kama simu za zamani zinaweza kutumika kutengeneza vitu vingine
> Mmea wa Mbuyu Unatakiwa Kuzalishwa Kwa Wingi- Wizara
> Arusha Thomson Safaris named among 2009 Best Adventure Travel Companies on Earth
> Mifuko ya Rambo kupigwa marufuku Tanzania
> Uuzaji wa Pamba Nje Marufuku
> Uzalishaji Korosho Utashuka

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD