Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Wagonjwa 25 wa Moyo Wamekwenda India leo
Advertisement


Monday, March 02, 2009 3:42 PM
WAGONJWA wapatao 25 wanaosumbuliwa na magonjwa ya moyo wameondoka kwenda India kwa ajili ya kwenda kupatiwa matibabu
Wagonjwa hao wameondoka na ndege ya Shirika la Emirates na wamesindikizwa na Balozi wa India nchini Kocheril Bagirath.

Taarifa hiyo ilitolewa na mratibu wa magonjwa ya moyo katika klabu ya Lions ya jijini Dar es Salaam, Dk. Rajni Kanabar.

Kanabar alisema kuwa wagonjwa walioondoka leo wanatarajiwa kwenda kutibiwa na kufanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Naryana Hrudalaya iliyopo kwenye mji ya Mumbai ambayo ni kubwa na ya pili duniani kutibu maradhi hayo.

Alisema wagonjwa hao baada ya upasuaji na taratibu zote kuisha wanatarajiwa kurudi nchini baada ya wiki nne ndipo watakuwa wameshamaliza kutibiwa.

Alisema wagonjwa hao wanne wametoka nchini Uganda, tisa wametokea Zanzibar na wengine wakiwa ni wa bara na wamefadhiliwa na wafadhili tofauti wakishirikina na taasisi hiyo. 
Na Chondoma Shabani, Dar es Salaam    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: soud    Tuesday, December 15, 2009 04:02:10   
 
Hawa Wagonjwa mwenyezi Mungu atawasaidia lakini Nashangaa kwa nini Bhai hajawasindikiza hawo wagonjwa wa moyo inaonekana huyu sio muhindi ila ni mmakonde
 
 
      
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
More health news
> Azaliwa na Ugonjwa wa Ajabu Aona Dunia Chini Juu
> Lipstick ni hatari kwa wanawake wajawazito na watoto
> Kikwete azindua jengo la upasuaji wa moyo
> Watoto wenye vichwa vikubwa watatibiwa bure
> MOI yapata vifaa thabiti vya upasuaji ugonjwa wa Uti wa
> Bajeti Ndogo ni chanzo cha vifo vya Malaria
> Malaria bado Tishio Tanzania-Waziri
> Wagonjwa 25 wa Moyo Wamekwenda India leo
> Muhimbili Yapata Vipimo Vipya
> Ukerewe Yatikiswa na Ugonjwa wa Minyoo na Kichocho
> Baby With Extra Legs Protruding From Buttocks
> 'Man mountain' From 46st virgin to gym hunk
> Bibi wa miaka 92 ana mimba ya tangia mwaka 1948 mpaka leo
> Mtoto mnene kuliko wote dunia apungua kilo 191
> Jaribio Ya Chanjo ya Ugonjwa wa Kipindupindu Yaja
> Wachangia Lita 67 za Damu
> Boy has foot removed from brain
> 10-Pound Hairball Pulled From Girl's Stomach
> HIV illegal immigrant may have infected more than 400
> Planting the seeds of malaria control
> Smoking riskier for women's hearts

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD