Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Muhimbili Yapata Vipimo Vipya
Advertisement


Saturday, February 21, 2009 1:18 PM
HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili imepata fursa ya kupata mashine mpya ya kisasa ya vipimo iitwayo ‘CT Scanner’.

Mashine hiyo imetolewa na wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii na kampuni ya Mokasi Medical Systen Electronics inayojishughulisha na kusambaza vifaa vya matibabu nchini.

Habari za kupatikana kwa kipimo hicho zilitolewa jana na Ofisa Uhusiano wa Hospitali hiyo, Bw.Aminael Aligaesha.

Alisema kwa sasa kipimo hicho bado hakijaanza kutumika kwa kuwa bado kipo kwenye zoezi la kufunga mashine hiyo.

Aligaesha alisema kuwa kipimo hicho kipya ambacho kitaanza kupatikana Aprili mwaka huu, kitakuwa na uwezo wa kuhudumia wagonjwa 30 kwa siku.

Kuliko pale awali mashine iliyokuwepo ilikuwa ina uwezo wa kupima wagonjwa 10 tu kwa siku kwa kuwa ilikuwa inafanyakazi kutokana na teknolojia ya kizamani.

Alisema kutokana na kupatikana kwa kipimo hicho kutaweza kupunguza adha ambayo ilikuwa inasumbua kwa muda mrefu.

Pia alisema mbali na kipimo hicho kipya pia hospitali hiyo itaweza kutoa pia huduma ya mionzi ambayo awali ilikuwa inapatikana katika hospitali ya Oceanroad pekee.


 
Na Chondoma Shabani, Dar es Salaam    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: iUFnJufBRaw    Friday, September 07, 2012 06:26:21   
 
A bit surprised it seems to smpile and yet useful.
 
 
Mtoa Maoni: SbjkqdSutGgrQdH    Saturday, September 08, 2012 11:03:25   
 
SxYzSG , [url=http://ficctiayjuso.com/]ficctiayjuso[/url], [link=http://fwpxoneyrlly.com/]fwpxoneyrlly[/link], http://hqskymctsued.com/
 
 
Mtoa Maoni: SLtsgTNvLNKDlbw    Sunday, September 09, 2012 21:53:02   
 
JKl3Nw , [url=http://skgndvulimim.com/]skgndvulimim[/url], [link=http://zkqpmkgsfqdz.com/]zkqpmkgsfqdz[/link], http://jieadceecscv.com/
 
 
Mtoa Maoni: gyDPn    Monday, January 05, 2015 11:34:42   
 
L99HW7 http://www.QS3PE5ZGdxC9IoVKTAPT2DBYpPkMKqfz.com
 
 
Mtoa Maoni: a4bGP    Monday, January 26, 2015 15:17:15   
 
Can you put it on the scales, please? http://www.consensusortho.com/index.php/patients/ dormicum 15 mg Australia has been for the past several years the globalhotspot for Asian gas investors, with $190 billion in liquefiednatural gas (LNG) developments under way to take advantage ofits proximity to top buyers such as Japan and South Korea.
 
 
       Jumla kuna maoni (476), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
More health news
> Azaliwa na Ugonjwa wa Ajabu Aona Dunia Chini Juu
> Lipstick ni hatari kwa wanawake wajawazito na watoto
> Kikwete azindua jengo la upasuaji wa moyo
> Watoto wenye vichwa vikubwa watatibiwa bure
> MOI yapata vifaa thabiti vya upasuaji ugonjwa wa Uti wa
> Bajeti Ndogo ni chanzo cha vifo vya Malaria
> Malaria bado Tishio Tanzania-Waziri
> Wagonjwa 25 wa Moyo Wamekwenda India leo
> Muhimbili Yapata Vipimo Vipya
> Ukerewe Yatikiswa na Ugonjwa wa Minyoo na Kichocho
> Baby With Extra Legs Protruding From Buttocks
> 'Man mountain' From 46st virgin to gym hunk
> Bibi wa miaka 92 ana mimba ya tangia mwaka 1948 mpaka leo
> Mtoto mnene kuliko wote dunia apungua kilo 191
> Jaribio Ya Chanjo ya Ugonjwa wa Kipindupindu Yaja
> Wachangia Lita 67 za Damu
> Boy has foot removed from brain
> 10-Pound Hairball Pulled From Girl's Stomach
> HIV illegal immigrant may have infected more than 400
> Planting the seeds of malaria control
> Smoking riskier for women's hearts

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD