Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Ukerewe Yatikiswa na Ugonjwa wa Minyoo na Kichocho

NewsImages/1044978.jpg
Kisiwa cha Ukerewe
Monday, February 09, 2009 11:23 AM
WAKAZI wa Wilaya ya Ukerewe, Mkoani Mwanza wanaugua ugonjwa wa kichocho na minyoo.
Inadaiwa kuwa zaidi ya asilimia 80 wakazi wa wilaya hiyo wanakabiliwa na tatizo la magonjwa hayo ukisababishwa na kuvimba matumbo na kuhara damu mara kwa mara.

Taarifa hiyo ilitolewa na Mratibu wa Utafiti wa Kichocho Kanda ya Ziwa, Nicholus Rwambo wakati alipokuwa anatoa taarifa ya afya Mkoani humo.

Alisema magonjwa hayo yanatokana na shughuli za uvuvi na imebainika robotatu ya wakazi wa humo wanajishughulisha na shughuli za uvuvi katika Ziwa Victoria.

Alisema sababu nyingine inayosababishwa wakazi hao kuathirika zaidi na magonjwa hayo ni kutokana na wakazi wengi kujisaidia kandokando, pembezoni mwa ziwa kwa kukosa vyoo na maji ya kutumia majumbani mwao.

Hivyo aliwataka wakazi wa mkoa huo kuachana na hayo ili waweze kujikomboa na matatizo hayo yanayowakabili mara kwa mara na kufata kanuni za afya kama inavyotakiwa na kutumia maji salama.

 
NA CHONDOMA SHABANI, DAR ES SALAAM    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: william    Thursday, August 26, 2010 17:47:23   
 
ustaarabu ni kitu cha bure, hawa watu hawaoni kuwa hiyo tabia ya kujisaidia hovyo inawadhuru wenyewe? acheni tabia hiyo mnatuaibisha watanzana.
 
 
Mtoa Maoni: NASSRA SAIDI    Monday, August 01, 2011 14:20:34   
 
wazazi tujikazeni kuwakataza watoto wetu wasicheze mito,na elimu inahitajika zidi juu ya suala zima la afya kwa jamii
 
 
Mtoa Maoni: ZPsVQVyPutzPtU    Wednesday, September 05, 2012 16:03:33   
 
This is both street smart and intellgniet.
 
 
Mtoa Maoni: bMaWXGzVzlMU    Friday, September 07, 2012 18:45:04   
 
CymKlD , [url=http://hbunvkdxgwwj.com/]hbunvkdxgwwj[/url], [link=http://uwixsmhsboev.com/]uwixsmhsboev[/link], http://rbgwutndjedh.com/
 
 
Mtoa Maoni: pOeiNtJPgDLiPB    Saturday, September 08, 2012 23:37:22   
 
Z4TOsx , [url=http://uygbjmcbojfm.com/]uygbjmcbojfm[/url], [link=http://wgoplqjnaufm.com/]wgoplqjnaufm[/link], http://frtdixtejshf.com/
 
 
       Jumla kuna maoni (12), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
More health news
> Azaliwa na Ugonjwa wa Ajabu Aona Dunia Chini Juu
> Lipstick ni hatari kwa wanawake wajawazito na watoto
> Kikwete azindua jengo la upasuaji wa moyo
> Watoto wenye vichwa vikubwa watatibiwa bure
> MOI yapata vifaa thabiti vya upasuaji ugonjwa wa Uti wa
> Bajeti Ndogo ni chanzo cha vifo vya Malaria
> Malaria bado Tishio Tanzania-Waziri
> Wagonjwa 25 wa Moyo Wamekwenda India leo
> Muhimbili Yapata Vipimo Vipya
> Ukerewe Yatikiswa na Ugonjwa wa Minyoo na Kichocho
> Baby With Extra Legs Protruding From Buttocks
> 'Man mountain' From 46st virgin to gym hunk
> Bibi wa miaka 92 ana mimba ya tangia mwaka 1948 mpaka leo
> Mtoto mnene kuliko wote dunia apungua kilo 191
> Jaribio Ya Chanjo ya Ugonjwa wa Kipindupindu Yaja
> Wachangia Lita 67 za Damu
> Boy has foot removed from brain
> 10-Pound Hairball Pulled From Girl's Stomach
> HIV illegal immigrant may have infected more than 400
> Planting the seeds of malaria control
> Smoking riskier for women's hearts

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD